Minister of State, President’s Office Public Service Management and Good Governance Hon. George Mkuchika, TPSC Management and TPSC Staff in a group photo.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Mh: Angellah Kairuki katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Mh: Angellah Kairuki akizindua bodi Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma.
Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Dkt. Henry Mambo katika picha ya pamoja na Watumishi wapya wa Chuo cha Utumishi wa Umma baada ya mafunzo elekezi, waliokaa kushoto ni Naibu mkuu wa Chuo Mafunzo Tafiti na Shauri Dkt. Enortha Shao, kulia ni Naibu mkuu wa Chuo Mipango fedha na utawala Bw. Rajab Mirambo , waliosimama watatu kutoka kushoto ni Meneja Ralisimali watu Bi. Gaudensia Mmasi.
Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Dkt. Henry Mambo akifunga mafunzo elekezi kwa Watumishi wapya wa Chuo cha Utumishi wa Umma.
TPSC facilitators and participants in a group photo during training Course, on Ideal the best way to handle the Disciplinary Cases in Public Service.
Principal and Chief Executive Office of Tanzania Public Service College Dr. Henry Mambo and the Vice Chancellor, Puntland State University Mr. Mohamud Hamid Mohamed smiling after signing the MOU.
TPSC Ag. Deputy Principal Academic, Consultancy and Research Dr. Enortha Shao (right) leading discussion during the signing of the MOU session, right are TPSC Members of Management.